この商品を友人に教える:
Nyakati Heshima John
価格
¥ 2.816
税抜
遠隔倉庫からの取り寄せ
発送予定日 年8月18日 - 年9月3日
Heshima John の新しいリリースのお知らせを受け取る
iMusicのウィッシュリストに追加
Nyakati
Heshima John
Kuna Nyakati zingine hali ngumu za maisha tunazopitia, si kwamba Allah Maanani alitupangia tupite njia hiyo. Ni binadamu wenzetu kama sisi ututengeneza katika njia wanayopenda wao tupite. Kwa maslahi yao na wanayoyajua wao. NIA NELSON ni binti mrembo, msomi na mwenye akili nyingi, aliyepitia changamoto nyingi katika ukuaji wake, akajiapiza kusoma kwa bidii, apate kazi nzuri, salama na njema kwake.lakini wakati anawaza hayo jamii nyingine asiyo itambua inaendesha maisha yake katika njia wanayotaka wao, tena pasipo yeye mwenyewe kujua Na zinapofika nyakati haswa za kula matunda mema ya jasho lake, ndio jamhuri inamwambia juu ya WITO wake, na inapaswa afuate na kutii wito huo ili jina lake liandikwe kwenye kitabu cha hi
| メディア | 書籍 Paperback Book (ソフトカバーで背表紙を接着した本) |
| リリース済み | 2021年4月26日 |
| ISBN13 | 9798744877286 |
| 出版社 | Independently Published |
| ページ数 | 218 |
| 寸法 | 127 × 203 × 12 mm · 217 g |
| 言語 | Afrikaans |