Mungu Hakopeshwi - Zainab Alwi Baharoon - 書籍 - Mkuki na Nyota Publishers - 9789987753932 - 2017年12月20日
カバー画像とタイトルが一致しない場合、正しいのはタイトルです

Mungu Hakopeshwi

価格
¥ 4.521
税抜

遠隔倉庫からの取り寄せ

発送予定日 年10月2日 - 年10月20日
Zainab Alwi Baharoon の新しいリリースのお知らせを受け取る
iMusicのウィッシュリストに追加

まだ評価がありません

Riwaya ya Mungu Hakopeshwi inaelezea maisha ya familia moja ya Unguja iliyoingia katika mitafaruku na mikasa mingi. Kila kitu huwa na chanzo na khatima; basi ni nini chanzo cha mitafaruku hiyo na khatima yake ilikuwaje? Simulizi ni juu ya baba, Bw. Ahmed, mwenye hasira kali zisizo na mipaka, aliyeongoza familia yake kwa utashi wa nafsi yake, bila kujali hisia za mkewe wala wanawe. Kumbe moyoni mwake alihifadhi siri, na hiyo siri ndiyo iliyomfanya Bw. Ahmed kuwa mkali bila kiasi, ikimsukuma azuie kurejea kwa yale yaliyomfika zamani. Lakini kivuli cha historia ya maisha yake ya nyuma hakikuacha kumuandama. Riwaya hii i meandikwa kwa lugha nzuri na fasaha, kwa ufundi wa msanii makini na mwelewa wa maisha ya jamii za Kizanzibari na za mwambao kwa jumla.

メディア 書籍     Paperback Book   (ソフトカバーで背表紙を接着した本)
リリース済み 2017年12月20日
ISBN13 9789987753932
出版社 Mkuki na Nyota Publishers
ページ数 254
寸法 129 × 198 × 16 mm   ·   226 g
言語 Swahili  

同じ出版社からのその他の記事