Siri 7 Za Kuwa Hai Leo - Jacob Mushi - 書籍 - Tanzania National Library - 9789976505108 - 2021年1月14日
カバー画像とタイトルが一致しない場合、正しいのはタイトルです

Siri 7 Za Kuwa Hai Leo

価格
¥ 5.513
付加価値税なし(お届け先:Japan)

遠隔倉庫からの取り寄せ

発送予定日 12月11日 - 12月29日
クリスマスプレゼントは1月31日まで返品可能です
Jacob Mushi の新しいリリースのお知らせを受け取る
iMusicのウィッシュリストに追加

まだ評価がありません

Kitabu hiki nimeandika kwa ajili yako. Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ndani ya kitabu hiki na nina imani kitakua ni sababu ya wewe kusogea katika eneo lile ulilokua na kwenda mbele Zaidi. Utajifunza, Jinsi ya Kujua Kusudi Lako, Siri na Sababu za Kuwepo Hapa Duniani, Kugusa maisha ya wengine, Kufikia Ukuu, Kufika kilele cha Mafanikio, Kuishi maisha bora, Kutengeneza Na Mungu Wako, Kutambua kile Mungu ameweka ndani yako, Kufikia Ushindi Mkubwa. Watu wengi wanaishi Maisha ambayo hayana mwelekeo, wanafanya kazi wasizozipenda, wanaishi Maisha wasiyoyataka kwa maana kuwa hayawapi furaha. Hii yote inaletwa na kutokujua sababu hasa ya wao kuwepo hapa duniani. Kitabu hiki kitakwenda kukufungua macho. Utajifunza: Kusudi la Wewe Kuwa Hai. Ili uweze kuishi Maisha yenye mwelekeo mzuri na kujua ni kipi hasa unapaswa kufanya kila siku ni hadi utakapoweza kutambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Kitabu hiki kimeeleza namna yaw ewe kugundua kusudi lako. Kugusa Maisha ya Wengine. Kila unachokifanya hapa duniani kinaongezeka sana endapo kitakuwa kinagusa Maisha ya wengine. Kiwango cha Maisha uliyogusa ndio kiwango cha mafanikio yako. Kutengeneza Historia Mpya. Ni alama gani unataka kuacha hapa duniani? Haijalishi umeshafanya makosa mangapi kuwepo kwako leo kunakupa nafasi ya kutengeneza historia mpya. Kitabu hiki kitakupa mwongozo huo. Kuishi Maisha ya Ushindi. Unatakiwa uishi Maisha ya ushindi kila siku kwenye kila unalolifanya. Utajifunza mbinu za kupata ushindi kwenye kila unachokigusa na mikono yako

メディア 書籍     ペーパーバック・ボグ   (ソフトカバーで背表紙を接着した本)
リリース済み 2021年1月14日
ISBN13 9789976505108
出版社 Tanzania National Library
ページ数 184
寸法 133 × 203 × 10 mm   ·   195 g
言語 Afrikaans  

Jacob Mushiの他の作品を見る

同じ出版社からのその他の記事