Yesu Pekee - Desmond Ford - 書籍 - CreateSpace Independent Publishing Platf - 9781495925887 - 2014年2月20日
カバー画像とタイトルが一致しない場合、正しいのはタイトルです

Yesu Pekee Swahili edition

価格
¥ 2.531
税抜

遠隔倉庫からの取り寄せ

発送予定日 年9月4日 - 年9月22日
Desmond Ford の新しいリリースのお知らせを受け取る
iMusicのウィッシュリストに追加

まだ評価がありません

Kitabu hiki kinalenga Kristo, msalaba, na injili. Kinazingatia utimilikaji wa ahadi ya mungu iliyofanywa sawa kwa zaidi ya miaka elfu tatu iliyopita. Mungu aliahidi ya kwamba ataishi na kutembea pamoja nasi, na kuwa angekuwa mungu wetu nasi kuwa watu wake. Ahadi hiyo ilitimilika ndani ya Yesu ambaye alikuwa Mungu pamoja nasi. Yesu alikuja kutuonyesha vile mungu alivyo. Alitwaa dhambi zetu na kujivika, na pale msalabani alilaaniwa na kuhukumiwa kwazo ili sisi tuwe huru kutokana na hiyo hukumu. Na hivyo ndivo mungu alivyo. Katika kitabu hiki ?Yesu pekee?, kuna vito vya injili ambavyo havipatikani kwingineko- vito ambavyo vinakutia shime kumtukuza mungu kwa upendo na hekima yake kuu. Daktari Desmond Ford ameandika vitabu vingi kuhusu injili ya Kristo. Taasisi yake ?Good News Unlimited?, inachapisha jarida, inatoa mahubiri ya video kwenye mtandao, na inadhamini huduma za ibada.

メディア 書籍     Paperback Book   (ソフトカバーで背表紙を接着した本)
リリース済み 2014年2月20日
ISBN13 9781495925887
出版社 CreateSpace Independent Publishing Platf
ページ数 120
寸法 7 × 140 × 216 mm   ·   149 g
言語 Swahili  

Desmond Fordの他の作品を見る

すべて表示